Thursday, January 3, 2013

Ukatili huu kwa msichana wa India inanifanya nijisikie aibu kuishi katika sayari hii kutokana na vituko, ukatili na ushenzi wa wanadamu

TUKIO LA KWELI LILILONIHUDHUNISHA MWAKA 2012!..

Alikuwa ni mwanafunzi!..
Alikuwa na miaka 23!..
Baadhi ya watu wanasema alikosea bus!...ahaa!...ndio kwa vile ni MSICHANA??..
Wanaume 6 walimbaka kwa kupokezana kisha wakamuingizia fimbo ya chuma kwenye uke wake mpk utumbo mdogo na mkubwa ukatoka!..
Wakamwacha afie pembeni ya barabara akiwa,
Uchi!.. 
Ana majeraha makubwa!..
Akiwa hatarini!..
Yuko mahututi!..
Kibaya zaidi hakuna aliyethubutu ht kumuangalia!..
Hakuna aliyejisumbua hata kumrushia kipande cha nguo,km ilivyo kawaida ya binaadamu wakikuta mtu amelala njiani!... 
Asingeweza kuishi maisha ya ndoa tn!..
Aliingia ktk 'coma' mara 6 tangu tr 16 December!..
Alipoteza fahamu kabisa,na kila akizinduka alikw hawezi kuacha kulia!..Unajali nini?..
Hakuwa dada yako wala binti yako,lakini angeweza kuwa,mtu yeyote linaweza kumtokea,kila mtu ana dada,binti,mama na ndugu wengine wakike,je angekw ni mmoja wao??!..
Huu ukatili inabd ukomeshwe!..
Hawa watu wanaowafanyi hv dada zetu wapewe adhabu kubwa kwa ukatili wao,!..
Alifariki siku ya jmosi trh 28 Dec 2012 "Mungu aiweke roho yake mahali pema"!..
Namuomba mungu awape adha ya kutisha wale waliomfanyia huu ukatili hapa duniani na kesho akhera!.
Hii haitokei India tu!..
Bali ni kila nchi duniani!..
Hivi ndivyo tunavyowatendea wanawake wetu????....
Inanifanya nijiskie aibu kuishi ktk sayari hii kutokana na vituko,ukatili na ushenzi wa wanaadamu!.. 

Km kifo chake kimekugusa pia na unapinga ubakaji
"andika RIP"

aDMIN kIN

Alikuwa ni mwanafunzi!..
Alikuwa na miaka 23!..
Baadhi ya watu wanasema alikosea bus!...ahaa!...ndio kwa vile ni MSICHANA??..
Wanaume 6 walimbaka kwa kupokezana kisha wakamuingizia fimbo ya chuma kwenye uke wake mpaka utumbo mdogo na mkubwa ukatoka!..
Wakamwacha afie pembeni ya barabara akiwa,
Uchi!..
Ana majeraha makubwa!..
Akiwa hatarini!..
Yuko mahututi!..
Kibaya zaidi hakuna aliyethubutu hata kumuangalia!..
Hakuna aliyejisumbua hata kumrushia kipande cha nguo,kama ilivyo kawaida ya binaadamu wakikuta mtu amelala njiani!...
Asingeweza kuishi maisha ya ndoa tena!..
Aliingia katika 'coma' mara 6 tangu  16 Desemba!..
Alipoteza fahamu kabisa,na kila akizinduka alikuwa hawezi kuacha kulia!..Unajali nini?..
Hakuwa dada yako wala binti yako,lakini angeweza kuwa,mtu yeyote linaweza kumtokea,kila mtu ana dada,binti,mama na ndugu wengine wakike,je angekuwa ni mmoja wao??!..
Huu ukatili inabidi ukomeshwe!..
Hawa watu watufanyia hivi wanawake wapewe adhabu kubwa kwa ukatili wao,!..
Alifariki siku ya jumamosi 28 Desemba 2012  katika hospitali ya Mount Elizabeth nchini Singapore"Mungu aiweke roho yake mahali pema"!..
Namuomba Mungu awape adha ya kutisha wale waliomfanyia huu ukatili hapa duniani na kesho akhera!.
Hii haitokei India tu!..
Bali ni kila nchi duniani!..
Hivi ndivyo tunavyotendewa sisi wanawake !!!!....
Inanifanya nijiskie aibu kuishi katika sayari hii kutokana na vituko,ukatili na ushenzi wa wanaadamu!.. 

Pumzika kwa amani huko uliko! 
·

No comments:

Post a Comment