Friday, January 4, 2013

Polisi 42 wazawadiwa Kagera

Kamanda wa usafi mkoa Kagera, Richard Rwenyongeza aipoea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Mkoa Kagera



Afande Floria naye akipokea zawadi yake pamoja na cheti





Baadhi ya askari pamoja na maofisa wa jeshi hilo wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa Kagera, Kanali Fabian Massawe



Baadhi ya maofisa wa Jeshi la polisi Mkoa Kagera wakiwa katika picha ya pamoja na Kamanda wa polisi wa Mkoa huo, Phillip Kalangi

Kamanda wa usafi Mkoa Kagera, Rwenyongeza akiwa ameshikilia cheti chake

No comments:

Post a Comment