Monday, January 7, 2013

Mtoto Rainer Jeremiah akifurahia kuanza darasa la kwanza, 2013... kweli ni safari ndefu

Mtoto Rainer Jeremiah (5) akiandaliwa na mama yake mdogo Hilda tayari kwenda kuanza maisha ya shule ya msingi.Rainer ameanza darasa la kwanza 
 Mtoto Rainer Jeremia akitoa tabasamu paaaaaana akifurahia kuanza darasa la kwanza 
 Ndiyo mama mdogo ananivalisha vizuri ili niende shule
 Tayari mtoto Rainer ameshavalishwa tayari kuondoka kwenda maisha ya shule ya msingi.


Mtoto Rainer akifurahia jambo akisubiri kupelekwa shule kwa mara ya kwanza.

No comments:

Post a Comment