Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za
kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014

Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akisikiliza hotuba toka kwa
Balozi wa DRC nchini Mhe Asumani Mpango ambaye pia ndiye Kiongozi wa
Mabalozi nchini akihutubia wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka
Mpya(Sherry Party) Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014 Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi na wawakilishi wa
taasisi za kimataifa wanawake wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka
Mpya(Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014
No comments:
Post a Comment