Hongereni sana jamani
Ni furaha kwa wanachi wa manispaa ya Bukoba baada ya Nape kutangazakutengua maamuzi ya NEC mkoa Kagera.
ni furaha
mjumbe wa alimashauri kuu taifa Abdul Kagasheki akiwa na wananchi mbalimbali wakifurahia kauli ya Nape
ni shangwe wanachi wakishangilia kauli ya nape
ilikuwa ni pilika kila kona
Diwani viti maalumu ccmMurungi Kichwabuta muda mfupi baada ya katibu mwenezi taifa kutengua maamuzi ya kufukuzwa kwa madiwani 8 wa ccm akiwa na diawani felician bigambo wa CUF
Diwani wa kata ya Bakoba-CUF Feliciani Bigambo akipongeza utenguzi wa maamuzi ya kuwafukuza madiwani wa ccm,amesema chama cha mapinduzi wananchi wangewashangaa kuona watetea haki za wananchi ndio wanaonekana maadui na kukumbatia mafisadi,amesema kama madiwani wanafanya kazi kwa sheria na kanunu za vikao,hivyo watahakikisha haki za wananchi zinapatikana
Mwenezi wa CCM Bukoba mjini Ramadhani Kambuka akieleza kuridhishwa na kauli ya Nape kupitia vyombo vya habari
Diwani wa kata ya kashai ambaye pia ni mwenyekiti wa wilaya bukoba mjini akipongezwa na wananchi muda mfupi baada ya maamuzi ya alimashauri kuu ya ya mkoa kutenguliwa
No comments:
Post a Comment