Wednesday, August 21, 2013

Hospitali ya Mkoa Kagera yapatiwa maabara ndogo ya kuchunguza dawa bandia


 Mkurugenzi wa Chakula na Dawa taifa, Dkt. Sikubwabo Ngendabanka aliyesimama akiwa anazungumza kabla ya kukabidhi maabara ndogo kwa uongozi wa hospitali ya mkoa Kagera, kati kati ni Katibu Tawala msaidizi mkoa Kagera, Bw. Richard kwitega akiteta jambo na Mganga Mkuu wa hospitali ya Mkoa Kagera ,Bi. Khairoonisa Pathan

 Baadhi ya watumishi wa afya katika hiospitali ya MKoa kagera waliohudhuria katika semina ya uhamasishaji wa viongozi wa afya katika uchunguzi wa ubora wa dawa kwa kutumia maabara ndogo.

 Hapa mmoja wa ofisa wa TFDA akifungua maabara ndogo inayotumika katika uchunguzi wa dawa bandia.


 Dkt.Ngendabanka akimkabidhi maabara ndogo kwa Katibu Tawala wa mkoa Kagera


 Baadhi ya viongozi waandamizi wa mkoa Kagera wakiangalia vifaa vilivyomo ndani ya maabara ndogo


Baadhi ya vifaa vinavyopatikana ndani ya maabara ndogo picha zote na Theonestina Juma

No comments:

Post a Comment