Tuesday, September 11, 2012

Niko kijijini kwa Babu yangu

 Hata Mbwa wake Babu nao wanamkumbuka  babu yetu hivi, kwa kulinda kaburi lake muda wote.
 Ni takribani miezi tisa sasa tangu babu  yangu atutoke! Januari 26, mwaka huu saa 6.55 mchana. Mungu Mrehemu umlaze mahali pema peponi Amina.
 Usiogope hawa mbwa, nao wanamkumbuka mlezi wao, babu yangu Mzee Alloyce Amworo
Niko kwa babu yangu, namkumbuka sana.

No comments:

Post a Comment