Pata habari moto moto kila siku, kwa
Mawasiliano zaidi piga Simu Na. 0755 856991/ 0712 992434
Email:-theonestinajuma@yahoo.com/rorya.09@gmail.com
Monday, September 3, 2012
Mwangosi akipigwa bila huruma na 'SERIKALI' ina tia huruma!
Mwandishi Mwenzetu Daud Mwangosi alikishambuliwa na polisi waliosheheni silaha ukidhani kuwa naye alikuwa na silaha tukio lililotokea Nyololo, Mufindi, Iringa jana jioni. Na baadaye ikaripotiwa kuwa ameuawa.
No comments:
Post a Comment