Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na vijana wa
umri wa CPTM 29ers waliohudhuria mkutano wa Smart Partneship Dialogue
2013 wakati wa ufunguzi rasmi wa mkuatno huo unaoshirikisha watu zaidi
ya 800 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Convention Centre jijini Dar es
salaam Ijumaa Juni 28, 2013
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joachim Chissano katika mjadala
Rais Kikwete akipiga ngoma kuashiria mwisho wa mjadala wa viongozi na vijana
Rais Kikwete akipiga ngoma kuashiria mwisho wa mjadala wa viongozi na vijana
Meza kuu
Vijana nwa THT wakitumbuiza
Viongozi mbalimbali
THT wakitumbuiza
Meza kuu wakifurahia onesho la THT
Wanafunzi wakiimba kwa furaha
Meza kuu wakishangilia
Sehemu ya wageni
No comments:
Post a Comment