Monday, July 20, 2015

Siasa mchezo mchafu kweli, Monduli wanakihama CCM, Chato wanarudisha kadi

  Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayni Chato Mkoani Geita,Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.(PICHA NA MICHUZIJR  NA ADAM MZEE)
 Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza,wilayni Chato Mkoani Geita,Mh Magufuli amezoa wanachama wapya waliorudisha kadi zao wapatao zaidi ya 150.Mh Magufuli yuko jimboni kwake Wilayani Chato kuwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 akiwa Mbunge.

MKe wa Mgombea Urais wa CCM,Mama Janeth Magufuli akiwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa mji huo kwa mapokezi mazuri na makubwa waliyoyapata wilayani humo.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara),Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimia
wanachama wa CCM pamoja na Wananchi waliofika kumlaki Dkt Magufuli jioni
ya leo katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza wilayani Chato mkoa wa Geita.

Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono pia na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa
miaka 20 akiwa Mbunge wao. 
  Baadhi ya
Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake
waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya
leo
wakishangilia kwa  furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha
kwao na pia kuwashukuru kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 ya Ubunge ndani ya jimbo hilo.
  Baadhi ya
Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake
wakimsikiliza Dkt Magufuli alipokuwa akiwasalimia na kuwashukuru katika viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo.
  Baadhi ya
Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake
waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya
leo
wakishangilia kwa  furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha
kwao na pia kuwashukuru kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa miaka 20 ya Ubunge ndani ya jimbo hilo.

Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji
vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza
jioni ya leo
wakishangilia kwa  furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha
kwao.
   Baadhi ya Wananchi wa mji mdogo wa Muganza,Wilayani Chato na vitongoji vyake waliokuwa wamekusanyika kwenye viwanja vya mji mdogo wa Muganza jioni ya leo
wakishangilia kwa  furaha kubwa mara baada ya Mbunge wao na Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli kujitambulisha
kwao.

Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa
miaka 20 akiwa Mbunge wao.

Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli
akiwaaga na kuwashukuru Wananchi wake kwa kumpa ridhaa ya kuwaongoza kwa
miaka 20 akiwa Mbunge wao.
  Mmoja wa Wafuasi wa chama cha Chadema Jumanne Majani akionekana kuwa na
furaha ya kupitiliza mara baada kumuona Dkt
Magufuli,katika kijiji cha Kibehe alipokuwa akielekea Mji Mdogo wa
Muganza kuwasalimia na kuwashukuru wananchi wa mji huo
  Mmoja wa Wafuasi wa chama cha Chadema Jumanne Majani akionekana kuwa na
furaha ya kupitiliza mara baada kupewa ruhusa ya kusalimiana na Dkt
Magufuli,katika kijiji cha Kibehe alipokuwa akielekea Mji Mdogo wa
Muganza kuwasalimia na kuwashukuru wananchi wa mji huo
 Mmoja
wa Wafuasi wa chama cha Chadema Jumanne Majani akionekana kuwa na
furaha ya kupitiliza mara baada kupewa ruhusa ya kusalimiana na Dkt
Magufuli,katika kijiji cha Kibehe alipokuwa akielekea Mji Mdogo wa
Muganza kuwasalimia na kuwashukuru wananchi wa mji huo
 Baadhi
ya Wananchi wakiwa wameziba barabara wakitaka kumuona na kumsalimia Dkt
Magufuli ikiwemo pia kumpongeza kwa kuteuliwa kuipeperusha bendera ya
CCM katika kuwania Uraisi kupitia chama hicho
  Wafuasi wa CCM wakishangilia mara baada ya kumuona Dkt
Magufuli alipokuwa akipita kuwasalimia wananchi akielekea Mji mdogo wa
Muganza,wilayani Chato jioni ya leo
 Mmoja
wa Wafuasi wa CCM akishangilia mara baada ya kumuona Dkt Magufuli
alipokuwa akipita kuwasalimia wananchi akielekea Mji mdogo wa
Muganza,wilayani Chato jioni ya leo.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kata ya Kibehe wakati akiwa njiani kuelekeza Mganza kwenye mkutano wa hadhara wa kuwaaga wakazi wa mji mdogo wa Mganza sehemu ambayo safari yake ya Ubunge alioutumikia kwa miaka 20 ilianzia.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi
wa kijiji cha Kibehe wakati akiwa njiani kuelekeza Mganza kwenye mkutano wa
hadhara wa kuwaaga wakazi wa kata ya Mganza sehemu ambayo safari yake
ya Ubunge alioutumikia kwa miaka 20 ilianzia.

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi
wa kijiji cha Nyisanzi wakati akiwa njiani kuelekeza Mganza kwenye mkutano wa
hadhara wa kuwaaga wakazi wa kata ya Mganza sehemu ambayo safari yake
ya Ubunge alioutumikia kwa miaka 20 ilianzia.
 Mgombea wa Urais wa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Nyisanzi ambapo aliwashukuru kwa muda wote aliowatumikia kama mbunge kwa miaka 20.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa kijiji cha Nyisanzi akiwa njiani kuelekea Mganza.
 Msafara wa mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye kata ya Mganza.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasili kwenye mji mdogo wa  Mganza
 Umati wa wakazi wa mji mdogo wa Mganza waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM aliwashukuru na kuwaaga kwa miaka 20 aliowatumikia kama Mbunge wao na kuwataka wananchi wachague Mbunge mchapakazi kama yeye.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimu wakazi wa mji mdogo wa Mganza kabla ya kumkaribisha mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kushukuru na kuwaaga wananchi hao.
 Mgombea wa Urais kwatiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dk.john Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Mganza kwenye mkutano wa kuwaaga baada ya miaka 20 ya kuwatumikia kama Mbunge wao.
 Wakazi wa mji mdogo wa Mganza wakimsikiliza mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli wakati wa kuwaaga baada ya kuwatumikia kama mbunge wao kwa miaka 20.
 Umati wa watu waliojitokeza kwenye mkutano wa Magufuli kwenye mji mdogo wa Mganza.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa kata ya Mganza ambapo aliwaaga rasmi baada ya kuwatumikia kwa miaka 20 kama mbunge wao.
 Wananchi wanaorudisha kadi zao za vyama vya upinzani wakiandikisha majina yao kwa mmoja wa viongozi wa CCM kata ya Mganzo.
 Mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akipokea kadi kutoka kwa wanachama wa vyama vya upinzani ambapo zaidi ya wanachama 150 walirudisha kadi za vyama vyao na kujiunga na CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM akiwaaga wakazi wa mji mdogo wa Mganza mara baada ya kumaliza mkutano wa kuwaa

Tunavyomfahamu mama Magufuli "first lady mtarajiwa"




Na  Mwandishi wetu
 Janeth Magufuli bado anasubiri miezi mitatu ya kampeni nzito za kumuwezesha mumewe kuingia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, lakini walimu na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbuyuni tayari wanasikitika kumpoteza mwalimu huyo wa jiografia, historia na Tehama.
Mumewe, Dk John Pombe Magufuli amepitishwa zaidi ya wiki moja iliyopita kuwa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, na hivyo atalazimika kupambana vikali na wagombea wa vyama vingine ili kujihakikishia anaingia Ikulu kuongoza Serikali ya Awamu ya Tano.
Lakini walimu na wanafunzi wa shule hiyo wanaona kuwa tayari Dk Magufuli ameshajihakikishia tiketi ya kuingia Ikulu na walichonacho sasa ni kusononeka kwa kuwa wanampoteza mmoja wa walimu bora shuleni hapo.
“Kama mumewe akichaguliwa, nitakosa utu na busara zake. Na unajua? Ni mwalimu wa mazingira na anajua majukumu yake. Darasa la tano watamkumbuka sana,” anasema mwalimu mkuu wa shule hiyo, Dorothy Malecela.
“Ni mwanamke mchapakazi sana na ni mwalimu mzuri, mtu mwenye upendo na mnyenyekevu. mtu pia mwenye moyo mzuri. Wakati fulani alitoa msaada wa baiskeli kwa mwanafunzi mlemavu shuleni hapa.”
Alikuwa akimzungumzia mwanafunzi mlemavu Elisha Lameck, ambaye alikuwa akipata shida kutoka sehemu moja kwenda nyingine wakati akiwa shuleni hapo.
Mwalimu Malecela anasema licha ya kuwa ni mke wa Waziri Magufuli, ilikuwa kazi kufahamu kama ni mke wa kigogo.
“Hakuwa na makuu hata kidogo, hata watoto wake walikuwa wakisoma hapa, na mwingine anasoma shule ya Kata ya Oysterbay,” anaeleza.
“Watoto wao wanasoma shule za kawaida sana. Shule ya kata tofauti na wengine ambao huwapeleka nje ya nchi.”
Malecela alieleza kuwa Mwalimu Magufuli hakuwa mtegeaji kazini.
“Hakuwahi kukosa kipindi na kama akiwa na dharura huwa anamwomba mwalimu mwingine amsaidie kipindi chake,” alisema.
Si mwalimu mkuu pekee ambaye alimmwagia sifa Mama Magufuli.
Ally Rajab na John Manda, ambao wako naye ofisi moja wanamuelezea Mwalimu Magufuli kuwa mtu ambaye ilikuwa vigumu kumtambua kuwa ni mke wa waziri, lakini pia mpole na anayeipenda kazi yake.
Mwalimu Rajab alisema kuwa wakati mwingine walikuwa wakinunua mihogo na kachori kwa ajili ya chai asubuhi, na Mwalimu Janeth alikuwa akijumuika kula pamoja nao.
“Hata wakati mwingine wa safari za mafunzo, huwa anatoa fedha kwa watoto ambao wazazi wao wameshindwa kuwalipia,” alisema.
“Hata wakati mwingine inapotokea walimu kukwaruzana ofisini, amekuwa msuluhishi.”
Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo, Mabano Mzee, Mariam Mwalami wanafunzi wa darasa la sita, wanasema kuwa Mwalimu Magufuli alikuwa wa aina yake.
Mzee anasema mke huyo wa Dk Magufuli si mtu wa kuchapa viboko wanafunzi.
“Kama kuna tatizo, anakuelekeza, kama una shida anakusikiliza,” alisema Mzee.
Naye Mariam anasema kuwa anampenda Mwalimu Magufuli kwa kuwa anajua jinsi ya kumfundisha mtu na anaelewa, na huwa anajua kama watu wameelewa ama la.
“Baada ya kufundisha huwa anamwita mwanafunzi na kumuuliza kama ameelewa na kinachonifurahisha, hata tunapokula makande naye hula,” alisema Mariam.
Stella Ijumba, mwalimu na rafiki mkubwa wa Janeth Magufuli, anasema aliposikia Dk Magufuli amepita, alijua hatakuwa tena na mwalimu huyo.
“Niliposikia mzee kapita, nikamtumia meseji, ‘Hongera rafiki yangu, hayo yote yamepangwa na Mungu’, japokuwa hakujibu, lakini nilijua tu wengi watakuwa wamemtumia sasa anashindwa kujibu, alisema mwalimu huyo wa darasa la nne.
“Nitamkumbuka sana rafiki yangu, alikuwa mpole sana... ninawatakia kila la kheri yeye na mumewe.”
Mwingine aliyemzungumzia Mwalimu Magufuli ni muuza matunda shuleni hapo, alisema kuwa atamkosa mteja wake ambaye mara kwa mara hununua matunda kwa ajili ya kula ama kupeleka nyumbani.
“Huwa napeleka matunda hata nyumbani kwake huwa ananiagiza, lakini juzi juzi hapa nilipokwenda nikakuta hali tofauti, kulikuwa na ulinzi mkali, nikashindwa kumuuzia, nikaondoka,” alisema muuza matunda huyo.
“Baadaye nikasikia habari za mumewe kuwa ameteuliwa kuwania urais, nikaona sasa ni ngumu tena kumuona na itakuwa tunamuona kwenye Tv tu.”
Lameck, ambaye alinunuliwa baiskeli na Janeth alisema: “Ninampenda sana Mwalimu Magufuli kwani kanisaidia baiskeli hii...mama huwa ananichukua kunileta shule, lakini hii imenisaidia na itampunguzia mama kazi,” anasema.
Anasema kuwa kaka yake, Eliya sasa ndiye anayemsindikiza kutoka na kwenda shule na mama yao amebaki nyumbani akiendelea na shughuli nyingine.
Iwapo Dk Magufuli atachaguliwa kuliongoza Taifa Oktoba 25, Shule ya Mbuyuni itakuwa imeweka historia ya aina yake kwa kutoa wake wawili wa marais.
Salma Kikwete, mke wa Rais anayemaliza muda wake, pia alifundisha shule hiyo katika kipindi chake cha miaka 20 ya utumishi serikalini.
Lakini kingine kitu kingine cha aina yake ni kwamba iwapo Dk Magufuli atakuwa Rais, maana yake mkewe ataingia kwenye kundi la wake za marais wawili wa nchi zilizo kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao majina yao ni Janeth.
Mke wa Rais wa Uganda ni Janet Kataaha Museveni wakati mke wa Rais Paul Kagame wa Rwanda anaitwa Jeannette Kagame.

Thursday, May 14, 2015

Mambo hayo

Matukio katika picha ya nchi ya Burundi




Sick: Protesters chase and thrown stones at a female police officer they accused of opening fire on protesters in Bujumbura this afternoon




Furious Burundian protesters violently carry a female police officer they accused of opening fire on them in the capital Bujumbura today




The female police officer is dragged along on the street and kicked in the head by a group of men who accused her of shooting at them




Two men appear to be protecting the police officer while several others - including one wearing Chelsea football shorts - punch and kick her




The female police officer is struck on the head by an object held by one of the men protesting in the Buterere neighbourhood of Bujumbura




A helmeted police officer and another man in a black polo shirt attempt to hold back the crowds throwing stones and kicking at her




A man carrying a large knife is seen among the rioters who appear to have been attempting to kill the female police officer








Protection: The female police officer manages to get hold of a gun as the man in black gets between her and the furious protesters




The female officer looks anguished while a policeman wearing a helmet and carrying a gun pleads with the demonstrators to withdraw




The bloodied female officer cowers in terror as she makes her way along a road in the Buterere neighbourhood of Bujumbura, Burundi




The man in the black t-shirt comforts the female officer and her colleagues finally manage to take control of the situation




A senior police officer manages to escort the woman away from the scene while the stone-carrying protesters argue among themselves




Painful: The injured female officer is eventually helped from the scene by two male colleagues after escaping the rampaging mob





Officers opened fire on demonstrators amid furious clashes on the streets of the capital Bujumbura, as Pierre Nkurunziza defied international pressure to cease his latest campaign for president




At least one protester is understood to have died in today's violence, while two others were reportedly killed overnight in a grenade explosion




A policeman runs with a detained protester during a protest in Buterere neighbourhood of Bujumbura, Burundi this morning




This morning police in Bujumbura opened fire on protesters in an apparent attempt to scatter crowds who wanted to attack the house of a police officer




Sickening: One of the rioters poses with the body of a dead barn owl tied to a cross, in what is believed to be a political gesture




A protestor holds up a dead owl attached to a stick. The symolb is intended to denigrate Burundi's ruling party, whose emblem is an eagle




A policeman detains a protester during a protest in Buterere neighbourhood of Bujumbura this afternoon




The rioter argues with police officers are the accuse him of taking part in the attack on their female colleague

Nkurunziza, a former rebel leader from the Hutu majority who has been in power since 2005, has come under intense international pressure to withdraw from next month's election and stand down.
Opposition groups insist that it is unconstitutional for him to run for more than two terms.
But he argues that his first presidential term did not count as he was elected by parliament, not directly by the people.
'The presidents should be clear with Nkurunziza... they must tell him to leave for the good of everybody,' said Aremus, a 24-year old protester.
'The summit tomorrow is a test... the heads of state must show their maturity in crisis management by telling Nkurunziza to leave,' said Donatien, manning one of the street barricades.
The clashes between security forces and demonstrators have raised fears of a return to violence in the central African state, which is still recovering from a brutal 13-year civil war that ended in 2006.
The European Union and United States called Monday for the elections set for late June to be delayed.



A policeman runs in front of a burning barricade during a protest in the Buterere neighbourhood of Bujumbura, Burundi this morning




Police officers fire guns and teargas towards protesters throwing stones in a suburb of Burundi's capital this afternoon




Casual: Two men walk in front of burning barricade in the Burundian capital of Bujumbura earlier this morning




Protesters run away from police and behind a bruning barricade during a protest in Buterere neighbourhood of Bujumbura this morning




Attacking the police: Protesters throw stones at police during a furious demonstration in the capital Bujumbura today




Officers fired tear gas to break up a crowd of some 200 stone-throwing youths in Bujumbura earlier this morning




On the run: Protesters run away from police during a protest in Buterere neighbourhood of Bujumbura this morning






Celebrations: Thousands took to the streets of Burundi's impoverished capital after the army announced it had launched a coup




Coup: The army claims to have seized power from President Pierre Nkurunziza, who had launched a bid for a third term in office




Protests: People were angry with Nkurunziza as a third term in office is not allowed under the country's decade-old constitution




Violence: The police had opened fire on anti-government protesters a number of times over the past two weeks




Take over: Major General Godefroid Niyombare (centre) arrives at the radio studios to address the nation in Burundi's capital Bujumbura




Delight: Niyombare told the country he had deposed the President in the broadcast - sparking outpourings of joy




Power: These pictures appear to show support for the army - but it is not known who is in control any more




Confusion: Both are claiming the other is done - although the police, said to be loyal to the presidential office, have withdrawn from the streets




Unknown: A South African foreign ministry spokesman said 'it's way too early to say' whether a coup had actually taken place in Burundi





Absent: However, the army is said to have ordered the airport closed and there is no sign of the president




Whereabouts unknown: Nkurunziza was understood to be flying back from Tanzania, where he was meeting with other leaders




Looting: A man holding up a branch runs past a fire burning as people loot a local police station after the reported coup






Popular movement: A detained protester cries in front of a burning barricade during a protest earlier today




Toll: It is thought at least 20 people have died and many others have been injured in these protests


A policeman stands in front of a burnt barricade in Bujumbura. Violence in the Burundian capital is continuing this afternoon
Last edited by R.B; Today at 12:37.

Sunday, April 12, 2015