RORYA KWETU

Pata habari moto moto kila siku, kwa Mawasiliano zaidi piga Simu Na. 0755 856991/ 0712 992434 Email:-theonestinajuma@yahoo.com/rorya.09@gmail.com

Wednesday, April 30, 2014

Mambo hayo ya sherehe za Muungano miaka 50

1Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhinimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yanayofanyika kila mwaka Aprili 26 kusherehekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili mwaka 1964 watanzania wengi wamejitokeza katika maadhimisho hayo wakiwemo viongozi mbalimbali na marais wa nchi mbalimbali za Afrika na wawakilishi wa nchi mbalimbali pia katika mataifa mbalimbali ya ulaya, Fullshangwe iko kwenye eneo la tukio ikikuletea moja kwa moja matukio  na maelezo zaidi ya picha hizi yatakujia baadae kwa sasa endelea kuangalia picha.(PICHA NA KUKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-UWANJA WA UHURU) 234578910111214151617181920
Posted by www.theonestinaj.blogspot.com at 3:22:00 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

YALIYOMO

  • ►  2012 (389)
    • ►  April (33)
    • ►  May (69)
    • ►  June (120)
    • ►  July (39)
    • ►  August (22)
    • ►  September (15)
    • ►  October (33)
    • ►  November (14)
    • ►  December (44)
  • ►  2013 (118)
    • ►  January (23)
    • ►  February (3)
    • ►  March (2)
    • ►  May (10)
    • ►  June (7)
    • ►  July (22)
    • ►  August (15)
    • ►  September (24)
    • ►  October (3)
    • ►  December (9)
  • ▼  2014 (75)
    • ►  January (13)
    • ►  February (7)
    • ►  March (22)
    • ▼  April (4)
      • Polisi wa Uganda wazua tafrani mpakani mwa Tanzani...
      • Maandalizi ya uzinduzi wa mbio za mwenge kitaifa m...
      • Mambo hayo ya sherehe za Muungano miaka 50
      • Ajali ya basi la A.M Tabora
    • ►  May (5)
    • ►  June (1)
    • ►  July (2)
    • ►  August (6)
    • ►  October (10)
    • ►  November (3)
    • ►  December (2)
  • ►  2015 (13)
    • ►  April (1)
    • ►  May (2)
    • ►  July (10)

KUHUSU MIMI

www.theonestinaj.blogspot.com
BUKOBA, KAGERA, Tanzania
Theonestina Juma, ninaishi Bukoba Kagera Tanzania.Napenda watu wanaojituma kwa kufanya kazi.Sipendi wanaobeza shughuli za wengine.
View my complete profile
Powered By Blogger
Theonestina Juma (Rorya kwetu. Watermark theme. Powered by Blogger.